Late Samora Machel

Late Samora Machel

mmbangifingi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
2,839
Reaction score
566
Ni nani hasa alimuua Rais wa Msumbiji wakati huo Samora Machel? Renamo? Serikali ya Makaburu? Kwanini ilikuwa lazima wamuue?
 
Mungu ndiye alimuua baada ya kumdhihaki mbele za watu! Rejea kwenye uzi hapo chini!
 
ngoja mama anisimulie nitarudi[emoji125][emoji125] maana kipindi hicho walikua mtwara
 
Back
Top Bottom