J JIWE2 Senior Member Joined Sep 17, 2010 Posts 125 Reaction score 18 Nov 2, 2010 #21 Mbona ITV walitangaza kuwa Arumeru magharibi wameshinda jamaa wa green. au walikuwa wanatuchakachua?
FDR.Jr JF-Expert Member Joined Jun 17, 2008 Posts 1,359 Reaction score 354 Nov 2, 2010 #22 Rombo matokeo ya mwanzo yalikuwa ni kura moja baina ya mlamba na selasini, tume imeridhia ombi la ccm kurudia kuhesabu kura.
Rombo matokeo ya mwanzo yalikuwa ni kura moja baina ya mlamba na selasini, tume imeridhia ombi la ccm kurudia kuhesabu kura.
W WildCard JF-Expert Member Joined Apr 22, 2008 Posts 7,505 Reaction score 2,416 Nov 2, 2010 #23 Kiboko ya JSM kapita kwa saana kule Mtera. Kura 23612 dhidi ya 4520 za CHADEMA
M Mapinduzi JF-Expert Member Joined Aug 23, 2008 Posts 2,418 Reaction score 98 Nov 2, 2010 #24 Mr. Zero said: We unaumwa nini?? Kwani upinzani umeanza leo......................Kw ataarifa yako mpaka sasa official results wana zaid ya 20 kati ya kama 55 yaliyotangazwa!! Click to expand... Mbona una jazba sana. Upinzani utapata majimbo zaidi ya 110.:rip:
Mr. Zero said: We unaumwa nini?? Kwani upinzani umeanza leo......................Kw ataarifa yako mpaka sasa official results wana zaid ya 20 kati ya kama 55 yaliyotangazwa!! Click to expand... Mbona una jazba sana. Upinzani utapata majimbo zaidi ya 110.:rip:
W WildCard JF-Expert Member Joined Apr 22, 2008 Posts 7,505 Reaction score 2,416 Nov 2, 2010 #25 Uwiano Maalum said: Mbona una jazba sana. Upinzani utapata majimbo zaidi ya 110.:rip: Click to expand... Majimbo ya upinzani ni kama vile yameshaisha. Hayatafika 60 na karibu one third yake ni yale ya CUF kule Pemba na Unguja.
Uwiano Maalum said: Mbona una jazba sana. Upinzani utapata majimbo zaidi ya 110.:rip: Click to expand... Majimbo ya upinzani ni kama vile yameshaisha. Hayatafika 60 na karibu one third yake ni yale ya CUF kule Pemba na Unguja.
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 Nov 2, 2010 #26 Kazimoto weka namba pembeni ili iwe Rais kuhesabu jumla ya viti vya Chadema ,CCM ,Cuf,NCCR ..nk nk