Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unaumwa nini?? Kwani upinzani umeanza leo......................Kw ataarifa yako mpaka sasa official results wana zaid ya 20 kati ya kama 55 yaliyotangazwa!!
Majimbo ya upinzani ni kama vile yameshaisha. Hayatafika 60 na karibu one third yake ni yale ya CUF kule Pemba na Unguja.Mbona una jazba sana. Upinzani utapata majimbo zaidi ya 110.:rip: