komanyahenry
JF-Expert Member
- Sep 15, 2017
- 903
- 1,361
Kwan utekwaji wa MO unahusika na siasi, au wapi wasemaje wa serikali (polisi) walihusisha utekaji wa MO na siasa?Hebu relax kidogo ...hapa ni jukwaa la burudani.Kwa mabishano na majadiliano ya kisiasa turudi jukwaa sahihi.