Latest Movies....series..kali kali. Weka hapa for this festive season.

Hebu relax kidogo ...hapa ni jukwaa la burudani.Kwa mabishano na majadiliano ya kisiasa turudi jukwaa sahihi.
Kwan utekwaji wa MO unahusika na siasi, au wapi wasemaje wa serikali (polisi) walihusisha utekaji wa MO na siasa?
 
Wekaga na series kali.

Hizi wagonjwa wa movie tushasafisha list nzima
 
Kuna hizi movies zitafute.

Problem child and problem child 2.

Ni nzuri. Ukishaziangalia nishirikishe za namna hii. Ndiyo mambo yangu haya.
 
Breaking In

Traffik

First Match

Equalizer 2
Proud Mary

When the Bough Breaks

Fifty shades Freed
 
Mkuu uko njema.
 
Mnatumia GB ngapi kuhifadhi hizi?
Mkuu mimi natumia simu yangu yenye GB 128 internal memory na external nina memory card ya GB 32,hadi sasa nina salio la GB 38. Movie moja ina wastani wa MB 500 hadi GB 1.5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…