Latest numbers on Kdf

Wapi lile jeshi la kuchapwa na watoto Kule Kongo?
 
Write your reply...
jeshi lina njaa balaa jamaa pale west gate badala ya kukamata mujahedeen wao wanaenda kuiba mkate na biskuti, sasa hilo ndo jeshi gani!!.. museveni tu kawapiga mkwara Kenya yote kimyaaaa..
 
Aibu tupu. Kuna siku KDF walishambuliwa na alshabaab kambini ndani ya mipaka ya kenya na wakanajisiwa tigo zao kwa masaa 24. Ilibidi wapate usaidizi masaa 36 baada ya alshabaab kuponda raha hadi wakaondoka wenyewe
 
khaaa we jamaa hiyo habari ni ya kweli!!..aisee hii sasa ni too much
unataka kusema jeshi la kenya lina askari wasio na mar*inda???kha haaaaaa
 
Aisee hongereni sana majirani zetu sasa muende kukomboa visiwa vya migingo
 
Wapi lile jeshi la wezi wa biscuits na pipi pale Westgate
Each and every army on this world will loot at Any given opportunity or what is called booty/plundering or spoils of war...si yenu ilikuwa inawabaka wamama na wasichana pale DRC?
 
Each and every army on this world will loot at Any given opportunity or what is called booty/plundering or spoils of war...si yenu ilikuwa inawabaka wamama na wasichana pale DRC?
Sasa wakenya wanakufa badala kuwaokoa wao wanajilia biscuits sasa ilo jeshi ama kundi la watoto wa kindergarten jeshi gani lisilo ha huruma na roho na wananchi
 
Sasa wakenya wanakufa badala kuwaokoa wao wanajilia biscuits sasa ilo jeshi ama kundi la watoto wa kindergarten jeshi gani lisilo ha huruma na roho na wananchi
Sasa mnaenda kuwaokoa Wakongo akina mulisaaa masikini wa mungu mnaanza kuwatunga mimba alafu watoto wao wadogo wanawapiga vita kwa mapanga kichapo cha mbwa msikitini.
 
KDF feature, TPDF bring yours , wacheni chocha, and not those SAMs you parade in national parades year-in-year-out...
 
ile vita ya ko
Wapi lile jeshi la kuchapwa na watoto Kule Kongo?
NO Kenya mngeenda Congo kenya mngekufa kama siafu wakimwagiwa mafuta ya taa maana M13 were mountain gorillas ...alafu battle field likwa ni thick forest achana kule kwenye dwarf mashroom forest za somalia desert alafu flat plain ilikuwaje mnapigwa kama siafu majirani...UPDF wanajitamba kwa kuukomboa mji wa Mogardishu wanasema vita vya kupigana mjin ktk majengo marefu ni hatari sana ila wao waliukomboa mji toka mikononi mwa al shaabaab ....lkn at the end of the day m13 were eliminated by TPDF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…