Latest numbers on Kdf

Latest numbers on Kdf

Ongezea hapo m-23 walipigwa kwa single night na tpdf pia hawa m23 walikuwa ni special force ya Mr slim na m7 pia m-23 walizisumbua battalion sita za UN kwa zaidi ya miaka 5
ile vita ya ko

NO Kenya mngeenda Congo kenya mngekufa kama siafu wakimwagiwa mafuta ya taa maana M13 were mountain gorillas ...alafu battle field likwa ni thick forest achana kule kwenye dwarf mashroom forest za somalia desert alafu flat plain ilikuwaje mnapigwa kama siafu majirani...UPDF wanajitamba kwa kuukomboa mji wa Mogardishu wanasema vita vya kupigana mjin ktk majengo marefu ni hatari sana ila wao waliukomboa mji toka mikononi mwa al shaabaab ....lkn at the end of the day m13 were eliminated by TPDF

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Back
Top Bottom