comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Kila mwaka wakati wa sikukuu hasa za mwisho wa mwaka LATRA huongeza usimamizi kwa mabasi ya kusafirisha abiria ikihusisha usimamizi wa nauli halali. Hiki kipandi ni cha chini ya wiki tatu kati ya wiki 52 za mwaka mzima.
Nje ya nyakati za sikukuu hasa za mwisho wa mwaka wasafirishaji hufanya biashara yao bila kupata faida kwa sababu hakuna abiria wa kutosha. wakati mwingine husafirisha abiria kwa nauli punguzo. kwa misingi hiyo nyakati za sikukuu za mwisho wa mwaka ndiyo wakati wa kupata ahueni kwa biashara zao.
Inatokea hivi kwenye usafairi wa anga, nauli hupanda sana wakati wa misimu ya sikukuu na hakuna kuingiliwa kama LATRA wanavyofanya.
Kuna haja ya LATRA kufanya kazi kwa hekima na busara kidogo kuliko wanavyofanya sasa ili kuwe na win win kwa pande zote. Kwa sasa wasafirishani wa abiria kwa njia ya barabara wanaonewa sana.