Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kufidia kwa kuumiza abiria kwa kuwapandishia nauli?Asiwepo wa kuonea mwingi kwani wote tunategemeana. kwa wiki 50 kwa mwaka wale wa mabasi huwa hawajazi abiria hivyo ama wanapata faida kidogo au hasara- kipindi hiki ndicho cha kufidia ili mwaka walau ujilipe.
Usichoelewa hizi nauli zinazopanda kipindi hiki mwenye basi hapati hilo ongezeko ni wapiga debe na madalali ndio wanufaikaKila mwaka wakati wa sikukuu hasa za mwisho wa mwaka LATRA huongeza usimamizi kwa mabasi ya kusafirisha abiria ikihusisha usimamizi wa nauli halali. Hiki kipandi ni cha chini ya wiki tatu kati ya wiki 52 za mwaka mzima.
Nje ya nyakati za sikukuu hasa za mwisho wa mwaka wasafirishaji hufanya biashara yao bila kupata faida kwa sababu hakuna abiria wa kutosha. wakati mwingine husafirisha abiria kwa nauli punguzo. kwa misingi hiyo nyakati za sikukuu za mwisho wa mwaka ndiyo wakati wa kupata ahueni kwa biashara zao.
Inatokea hivi kwenye usafairi wa anga, nauli hupanda sana wakati wa misimu ya sikukuu na hakuna kuingiliwa kama LATRA wanavyofanya.
Kuna haja ya LATRA kufanya kazi kwa hekima na busara kidogo kuliko wanavyofanya sasa ili kuwe na win win kwa pande zote. Kwa sasa wasafirishani wa abiria kwa njia ya barabara wanaonewa sana.
Kama hawapati faida mbona wanaleta mabasi mengi mengi kwa mkupuo? Si waache biashara?Kila mwaka wakati wa sikukuu hasa za mwisho wa mwaka LATRA huongeza usimamizi kwa mabasi ya kusafirisha abiria ikihusisha usimamizi wa nauli halali. Hiki kipandi ni cha chini ya wiki tatu kati ya wiki 52 za mwaka mzima.
Nje ya nyakati za sikukuu hasa za mwisho wa mwaka wasafirishaji hufanya biashara yao bila kupata faida kwa sababu hakuna abiria wa kutosha. wakati mwingine husafirisha abiria kwa nauli punguzo. kwa misingi hiyo nyakati za sikukuu za mwisho wa mwaka ndiyo wakati wa kupata ahueni kwa biashara zao.
Inatokea hivi kwenye usafairi wa anga, nauli hupanda sana wakati wa misimu ya sikukuu na hakuna kuingiliwa kama LATRA wanavyofanya.
Kuna haja ya LATRA kufanya kazi kwa hekima na busara kidogo kuliko wanavyofanya sasa ili kuwe na win win kwa pande zote. Kwa sasa wasafirishani wa abiria kwa njia ya barabara wanaonewa sana.
Lini ushaona Abood linaondoka bila kujaa?Asiwepo wa kuonea mwingi kwani wote tunategemeana. kwa wiki 50 kwa mwaka wale wa mabasi huwa hawajazi abiria hivyo ama wanapata faida kidogo au hasara- kipindi hiki ndicho cha kufidia ili mwaka walau ujilipe.
Usafiri wa mabasi ni basic need, na majority ya Watanzania ni watu fukara.mbona usafiri wa ndege unapanda wakati wa sikukuu kwani mabasi yanazuiliwa
Jenga hoja acha kutumia zisizo za kistaarabu. Wavuta bangi na wanywa gongo hili jukwaa siyo mahala pao.Huna akili mbuzi.
Ww hujawahi kukwama kwa kupandishiwa nauli ndio maana unabwabwaja.
Kama biashara hiyo haiwalipi wangeacha.
Wqo walikwambia kusafirisha abiria siku za kawaida ni hasara?
Hili lako jipyaUzuri Latra hawajawahi walazimisha kubeba abiria, ni wao ndo wanaenda omba leseni, hivyo basi wafuate maelekezo ya leseni.
Latra waondoe madalali, hapo swala ni kupiga faini wenye magari endapo abiria atakuwa ma ticket isiyo ya electronic na isiyo na jina lake.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Asiwepo wa kuonea wengine
Umenena vema. Ndo maana ninasimamia sheria, watoze nauli kwa mujibu wa sheria.Asiwepo wa kuonea wengine