LATRA acheni kuwaonea wafanyabiashara wa magari ya abiria

Lengo lako ni kua abiria asitetewe kwa mujibu wa sheria za LATRA.
Jua kwanza kazi ya LATRA
 
Asiwepo wa kuonea mwingi kwani wote tunategemeana. kwa wiki 50 kwa mwaka wale wa mabasi huwa hawajazi abiria hivyo ama wanapata faida kidogo au hasara- kipindi hiki ndicho cha kufidia ili mwaka walau ujilipe.
Unataka kufidia kwa kuumiza abiria kwa kuwapandishia nauli?
Nani kakuambia mabasi hayajazi majira mengine ya mwaka? Kila siku shabiby imejaa na watu wanafanya booking kabisa.
Serikali ni mdhibiti wa huduma lazima ifanye kazi yake, hakuna uholela kwenye ufanyaji kazi,
 
Usichoelewa hizi nauli zinazopanda kipindi hiki mwenye basi hapati hilo ongezeko ni wapiga debe na madalali ndio wanufaika
 
Kama hawapati faida mbona wanaleta mabasi mengi mengi kwa mkupuo? Si waache biashara?
 
Asiwepo wa kuonea mwingi kwani wote tunategemeana. kwa wiki 50 kwa mwaka wale wa mabasi huwa hawajazi abiria hivyo ama wanapata faida kidogo au hasara- kipindi hiki ndicho cha kufidia ili mwaka walau ujilipe.
Lini ushaona Abood linaondoka bila kujaa?
 
Huna akili mbuzi.
Ww hujawahi kukwama kwa kupandishiwa nauli ndio maana unabwabwaja.
Kama biashara hiyo haiwalipi wangeacha.
Wqo walikwambia kusafirisha abiria siku za kawaida ni hasara?
Jenga hoja acha kutumia zisizo za kistaarabu. Wavuta bangi na wanywa gongo hili jukwaa siyo mahala pao.

Mleta mada ajibiwe kwa hoja. Mbona kuna biashara nyingi tu msimu huu hua zinapanda bei? Mfano nenda buchani hivi Sasa unaambiwa kilobya nywma elfu 9. Serikali hiyo hiyo iko kimya.

Mskmu wa mvua bei ya miavuli hupanda mara mbili. Hatuoni hizi operesheni kama za LATRA

Mwezi January shule zinapofunguliwa stationery huwa zinapanda hatuoni mamlaka zikiingilia.

Ndipo sasa mleta mada anaona kama wenye mabasi wnaonewa.
 
Mleta mada wewe ni mjinga bin mpuuzi bin mpumbavu!
Siwezi hata kukushauri kwani hutaelewa kwa sababu zilizo hapo juu!
 
Lini ushaona Abood linaondoka bila kujaa?
Ndiye pekee unayemjua? Waulize Najimunisa wazee wa njia ya Dar/Mza/Dar toka wewe hujazliwa, toka watu wanaenda Dar kutoka Mwanza kupitia Nairobi
 
Uzuri Latra hawajawahi walazimisha kubeba abiria, ni wao ndo wanaenda omba leseni, hivyo basi wafuate maelekezo ya leseni.

Latra waondoe madalali, hapo swala ni kupiga faini wenye magari endapo abiria atakuwa ma ticket isiyo ya electronic na isiyo na jina lake.


Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hili lako jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…