Latra fwatilien nauli zimepanda gafla na mnajua hili..shida sikukuu ama someni mwananchi la leo

Latra fwatilien nauli zimepanda gafla na mnajua hili..shida sikukuu ama someni mwananchi la leo

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ntashangaa kusikia tkt za kulanguliwa hazipo Dec

Hii n miradi mirefu sana KUNA jamaa huwa ananunua HATA tkt 30 Dec analangua na ana madalali kabisa ukienda kwenye basi wanakwambia limejaa

Basii halijajaaaa kinachofanyika Wana mtu special ana tkt zao ndio maana wakikwambia tkt zimeisha ama basi limejaa KUNA mtu PEMBEN

Yule Yuko pale kupenyezewa udalali ..utaambiwa jaribuu kumwona yule dancha ukimfwata unapanda basi lilelile uliloambiwa limejaa

Huu mjii hataree sana sana
Allah TUSAIDIE

Latra someni gazeti la mwananchi la leo mtaelewa jinsi tunavyopigwa na tkt za sikukuu

Ama ndio mshainizinisha huu wimboo kila sikukuu kilio

Mwisho niwatakie sikukuu njema wote
 

Attachments

  • IMG-20241221-WA0385-732x950.jpg
    IMG-20241221-WA0385-732x950.jpg
    173.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom