A
Anonymous
Guest
Habari JamiiForums.
Poleni kwa majukumu mnayoyafanya ya kufichua changamoto zilizopo katika jamii na mamlaka husika kuzifanyia kazi changamoto hizo.
Kero yangu ni kwamba, sisi wakazi wa Goba kupitia njia ya Makongo tunapata tabu sana ya usafiri ya daladala hazipo, licha ya mamlaka husika kutangaza ruti mpya ya njia hiyo Mwaka 2025 mwanzoni hadi leo hakuna daladala zinazopita njia hiyo.
Daladala zote zinaishia Makongo Mwisho, ni ama wamiliki wa hizo Bajaj ni wakubwa wa Serikalini hawataki daladala zipite njia hii au nini kinaendelea?
Tunaomba mamlaka husika itusaidie kutatua changamoto hii kwa sababu nauli ya bajaji na bodaboda ni kubwa hasa kipindi hiki cha kupanda kwa bei ya mafuta.
Tunaomba mamlaka husika ilifanyie kazi jambo hili tupande daladala, bei ni kubwa mno ya nauli za bajaji na bodaboda tunaumia sana.
Soma pia hizi:
1) KERO - Responded - Kila siku tunalia na LATRA, Njia ya Makongo Juu hadi Goba hakuna Daladala au mna ubia na Bajaj zinazotumika huko?
2) LATRA yatangaza njia mpya za Daladala ikiwemo ya kupitia Makongo Juu
3) DOKEZO - Tunaelekea Mwezi wa 8 ahadi ya LATRA kuweka daladala njia ya Makongo Juu – Goba haijatimia