LATRA kuanzisha utaratibu mpya wa usafiri Dar es salaam

jjackline

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
111
Reaction score
274
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra), inatarajia kuanzisha huduma ya ‘Ride Sharing’ kabla ya kuisha mwaka huu wa fedha 2024/25.

Watu tisa hadi 14 wataweza kupanda gari moja kwa kuomba kupitia mitandao ya simu hata kama wapo vituo tofauti.

Akizungumza na Mwananchi, leo Jumanne, Agosti 13, 2024 Mkurugenzi wa Udhibiti Usafiri wa Barabara wa Latra, Johansen Kahatano amesema wameamua kuja na huduma ili kuendelea kuwarahisishia wakazi wa Jiji la Dar es Salaam usafiri lakini pia wameona kuna uhitaji mkubwa wa huduma hiyo.

Kahatano amesema tayari baadhi ya mitandao ya simu imeonyesha utayari wake katika utoaji huduma hizo.
“Tunafanya yote haya ili kuwarahisishia wananchi usafiri na kuwa na chaguo, kwa wale ambao wanataka kupanda usafiri wa hadhi watapanda na wale wenzangu na mimi basi watapanda ule wa daladala.

Snapinsta.app_455186569_819876063662017_8369843960794170233_n_1080.jpg

View attachment 3069644

Wa we wa wazi kwambwa kuna dili ya muekezaji wa mtandao anataka kupewa tenda ya usafirisha online transport, kashawalipa cha kwao. Sio kusaidia wananshi, ni kama wana rudisha daladala hiace zili vipanya kwanini waliviondoa mara ya kwanza.
 
wasi tuchooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooosheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
kudhibiti upandishwaji wa nauli kumewashind wataweza hili?
TEGETA MAKUMBUSHO 700 wakati ilikuwa 500?
wao walitangaza kila safari itaongezeka 100
 
Back
Top Bottom