LATRA: Kupanda kwa nauli ya mwendokasi hakuhusiani na matukio ya Oktoba 29

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), Habibu Suluo amesema ongezeko la nauli ya Mwendokasi kutoka TZS 750 hadi TZS 1,000 hakuhusiani na matukio ya Oktoba 29, 2025.

Pia Soma:

Mimi napenda CCM, badala ya kupunguza gharama za Maisha kwa mtanzania wa Hali ya chini anayetegemea usafiri wa mwendo Kasi ili atoke akazalishe apate hela ya kula, wao wanaona Busara na hekima kumuongezea Mwananchi gharama za Maisha kwa kuongeza nauli huku akijua kipato chale hakijaongezeka badala yake kinashuka Kila siku

Badala ya KUSIMAMIA RASIMALI za nchi vizuri zitumike kupunguza gharama za Maisha, wao wanampa Rostam Makaa ya mawe ukiiuliza amepatikanaje, wanakuteka na kukuua.

Sisi tunamuachia MUNGU ipo siku MUNGU atasikia kilio chetu sisi watanzania, maana MUNGU wetu hazihakiwi husimama na wanao onewa.
 
ADUI UNAE MMUDU USIMUACHIE MUNGU WE JAMAA
 
Sisi wananchi wanyonge haya tukiandamana wanatupiga risasi na kutufukia kwenye makaburi ya halaiki, wakati mwingine Wana Kuteka na kuua pia
 
Kumbe walizifanya zitumie gesi ili nauli ipande?

What was the reason kutumia gesi kama nauli zinapanda?
 
Atakayeuza Gesi kwenye hizo mwendokasi ni Aziz.

Wao walifocus kumpa dili Ponjoro, mengine haya ni matokeo tu.
 
Back
Top Bottom