Mimi napenda CCM, badala ya kupunguza gharama za Maisha kwa mtanzania wa Hali ya chini anayetegemea usafiri wa mwendo Kasi ili atoke akazalishe apate hela ya kula, wao wanaona Busara na hekima kumuongezea Mwananchi gharama za Maisha kwa kuongeza nauli huku akijua kipato chale hakijaongezeka badala yake kinashuka Kila siku
Badala ya KUSIMAMIA RASIMALI za nchi vizuri zitumike kupunguza gharama za Maisha, wao wanampa Rostam Makaa ya mawe ukiiuliza amepatikanaje, wanakuteka na kukuua.
Sisi tunamuachia MUNGU ipo siku MUNGU atasikia kilio chetu sisi watanzania, maana MUNGU wetu hazihakiwi husimama na wanao onewa.