MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana zikawekwa sheria ili kuwe na utaratibu maana magari yote yanalipa pesa za vibali(kodi) za kufanya hizi huduma kwa jamii.Penye riziki hapakosi fitina. Ogopa Mtanzania akiona mwenzake kapata fursa.
Kwa kirikuu unaeza ambiwa hata 40k, ndio maana konda akikwambia 5000 pamoja na nauli yako inakuwa nafuu kutumia daladala.Tenga moja la nyanya mnabebea shilingi ngapi hadi kawe?
Hapana boksi la nyanya bei ni 1500 kwa sababu yanakuwa maboksi mengi yanapishushwa vituo mbali mbali.unakuta canter inachukua mizigo ya banana,mombasa ,gongo la mboto mpka chanika huko na kama hivyo mbona mamizigo makubwa yasio ingia kwenye gari kama gunia la vitunguu na kabeji ambayo kimsingi hayana pesa ndiyo wanaleta kwnye magari ya mizigo mkuu usiongee usichokijua kama kitu hujui kaa kimya jifunze.Hebu tupunguzeni chokochoko pasipo na haja ya chokochoko. Sasa mama wa watu ana genge lake Buza, uwezo wake kununua kisanduku kimoja cha nyanya wewe unataka akodishe carry mpaka Buza, ataweza?
Unahisi ule mchicha unaonunua gengeni huko Tabata unafikaje hapo kama sio kupitia daladala hizo hizo?
Sidhani hizo gari zinakosa nafasi za watu kukaa sababu ya hiyo mizigo.
Wacha watu watafute rizki zao kihalali.
Hapana boksi la nyanya bei ni 1500 kwa sababu yanakuwa maboksi mengi yanashushwa vituo mbali mbali.unakuta canter inachukua mizigo ya banana,mombasa ,gongo la mboto mpka chanika huko na kama hivyo mbona mamizigo makubwa yasio ingia kwenye daladala zao kama gunia la vitunguu na kabeji ambayo kimsingi hayana pesa ndiyo wanaleta kwenye magari ya mizigo mkuu usiongee usichokijua kama kitu hujui kaa kimya jifunze.Kwa kirikuu unaeza ambiwa hata 40k, ndio maana konda akikwambia 5000 pamoja na nauli yako inakuwa nafuu kutumia daladala.
Guta ni gari la mzigo?Naona wenye maguta mmeanza lia
Mkuu, KEKI ya taifa bado ni kubwa sana. Changamsha Ubongo uache malalamiko.jumatatu asubuhi mkafanye kazi yenu muwanyooshe wale madereva wasiofuata sheria wengine sie wafadhili wetu mia mbili mia tatu wanapata kwa hiyo kazi na wakikosa hizo mia mbili mia tatu na sie huku mtaani twafaa na njaaa.
Mtoa mada anatumia mihemko bola kutafakariHebu tupunguzeni chokochoko pasipo na haja ya chokochoko. Sasa mama wa watu ana genge lake Buza, uwezo wake kununua kisanduku kimoja cha nyanya wewe unataka akodishe carry mpaka Buza, ataweza?
Unahisi ule mchicha unaonunua gengeni huko Tabata unafikaje hapo kama sio kupitia daladala hizo hizo?
Sidhani hizo gari zinakosa nafasi za watu kukaa sababu ya hiyo mizigo.
Wacha watu watafute rizki zao kihalali.
Wabongo sie tuna shida mahali sio bure hasa wewe mtanzania mwenzangu ....hapo uchawi uko wapi kwamba daladala za abiria zibebe mizigo nchi itawalike bila sheria......kuna gari ya tabata ilipakia boksi za nyanya gari ikayumba kidgo abiria akavunjwa mguu na boksi hiyo ni moja ya madhara ya kuweka mizigo na abiriaMkuu, KEKI ya taifa bado ni kubwa sana. Changamsha Ubongo uache malalamiko.
Hio tabia unaleta inaitwa FITINA, hio ni hatua ya Mwisho binadamu hupitia kabla hajawa MCHAWI kamili.
Be a Man, Stay Focused.
Wabongo bwana wajauaji hatari hahaha.Mtoa mada anatumia mihemko bola kutafakari
Usafiri wa kuchangia haupo muda woteHapana boksi la nyanya bei ni 1500 kwa sababu yanakuwa maboksi mengi yanashushwa vituo mbali mbali.unakuta canter inachukua mizigo ya banana,mombasa ,gongo la mboto mpka chanika huko na kama hivyo mbona mamizigo makubwa yasio ingia kwenye daladala zao kama gunia la vitunguu na kabeji ambayo kimsingi hayana pesa ndiyo wanaleta kwenye magari ya mizigo mkuu usiongee usichokijua kama kitu hujui kaa kimya jifunze.
Kaka hii nchi bhana nimegundua watanzania CCM walitunyima elimu lakin hii bado haiji akilini maana mbona kuna watanzania wapo smart tu.Ngoja nione hapa
Wewe ni mchawi. Mizigo ikipakiwa kwenye daladala haifiki? Huo ubongo wako utumie vizuri badala ya kuwaza fitina na kuwaonea wivu watu wa daladala. Hatuwezi kuendelea kwa uwepo wa watu wenye roho mbaya kama wewe.Mambo yasiwe mengi nisiwachoshe.
Hapa naongelea jiji la Chalamila yaani Daslamu.Binafsi naomba kupata majibu kwenu LATRA inakuwaje daladala za abiria zinabeba mizigo na nyie mpo mmekaa ofisini na vitambi vyenu bila kutoa faini kwa hizi daladala na ishageuka tabia.
LATRA pale Ilala boma sokoni imekuwa kero gari za mizigo zipo hazifanyi kazi kwa sababu ya daladala za abiria zinanbeba mizigo yao na askari wanakula tu rushwa wala hawazikatazi wala kuziandikia hizi daladala je hawa wenye gari za mizigo wakale wapi maana hiyo asubuhi ndio muda wao wa kazi na daladala nazo zinaleta tamaa kutaka kutorudi mswaki hivyo wanapakia maboksi ya nyanya ambayo ndiyo yanahela lakini sheria haiwaruhusu.
LATRA Sheria ipo wazi daladala hawaruhusiwi kubeba mizigo na gari za mizigo haziruhusiwi kubeba abiria hivyo basi nawaomba (nipo chini ya miguu yenu) jumatatu asubuhi mkafanye kazi yenu muwanyooshe wale madereva wasiofuata sheria wengine sie wafadhili wetu mia mbili mia tatu wanapata kwa hiyo kazi na wakikosa hizo mia mbili mia tatu na sie huku mtaani twafaa na njaaa.
LATRA au mpka msikie majanga watu wamechomana visu na mateja wale wapiga debe ndiyo mtakuja mbiombio maana kwenye ugali watu hawataki masihara....kazi kupanga nauli tu field hamuendi.
Senior Jobless!!!
Huyu mtoa mada tayari ni mchawi kamili.Mkuu, KEKI ya taifa bado ni kubwa sana. Changamsha Ubongo uache malalamiko.
Hio tabia unaleta inaitwa FITINA, hio ni hatua ya Mwisho binadamu hupitia kabla hajawa MCHAWI kamili.
Kanuni ya Biashara siku zote ni ku-minimize Cost na ku-maximize Profit. Ukiona wanapakia kwenye Daladala ujue Cost iko Low.
Be a Man, Stay Focused.
Haupo muda gani mizigo mingi ya sokoni muda wake wa kutoka inajulikana ni asubui mpka saa 6 muda huo magari yapo mengi tu.......Usafiri wa kuchangia haupo muda wote