LATRA, suala la daladala za abiria kubeba mizigo ndiyo utaratibu mpya?

Wewe ni mchawi. Mizigo ikipakiwa kwenye daladala haifiki? Huo ubongo wako utumie vizuri badala ya kuwaza fitina na kuwaonea wivu watu wa daladala. Hatuwezi kuendelea kwa uwepo wa watu wenye roho mbaya kama wewe.
Daladala sio gari ya mizigo ni gari za kubeba abiria wewe chawa na hizo daladala mbona mizigo mikubwa inawakataliwa wanaileta kwnye magari ya mizigo na wao wanchukua boksi peke yake mbona unaongea kama umeingizwa kitu kwenye kitundu cha kunyea.
 
Ndiyo maana zikawekwa sheria ili kuwe na utaratibu maana magari yote yanalipa pesa za vibali(kodi) za kufanya hizi huduma kwa jamii.
Sheria nyingi za latra hazitekelezi kwa sababu wamekariri kutoka first world na hapa kwetu kwa sababu ya umasikini haziwezi kuwa aplicable.
Hivi unajuakuwa daladala inatakiwa kupakia level seat?
 
Kama ni ilala boma, nadhan shida kubwa pale ni polisi kushindwa kuwapanga Dala Dala na kufanya kuwe na kero kubwa Kwa watumiaji WA njia Ile, Polisi WA usalama barabarani x 3 , pia Buguruni Polisi njia, barabara imegeuzwa soko, usalama mdogo uchafu mwingi Polisi hawafanyi chochote mbele ya Kituo Chao, Aibu, halafu tunashangaa yaliyotokea Taifa mkapa
 
Daladala sio gari ya mizigo ni gari za kubeba abiria wewe chawa na hizo daladala mbona mizigo mikubwa inawakataliwa wanaileta kwnye magari ya mizigo na wao wanchukua boksi peke yake mbona unaongea kama umeingizwa kitu kwenye kitundu cha kunyea.
Kwa vile umeshaonyesha huna busara na matusi Yako, ni Bora mkaondolewa hapo, kwanza Magari yenu nayo ni chanzo Cha kuzuia njia
 
Sasa hapa ndio tujadili mkuu na wakumbushwe kazi zao sio mpaka yatokee maafa hii nchi mkuu wenye udhibit wanajua kuandika faini tu.

Maana ukisema hawa daladala wabebe mizigo hawa wenye gari za mizigo watakosa kazi na kisheria wao ndiyo wana haki ya kubeba mizigo na wanalipa vibari LATRA hivi unadhani gari za mizigo zingekuwa zinabeba mizigo kiasi cha kutishia kipato cha watu wa daladala unadhani wasingeenda kulalamika????

Na hawa daladala ikifika mchana saa 8 abiria wakiwa wengi wanakuwa hawataki tena mizigo.
 
Kama ni ilala boma, nadhan shida kubwa pale ni polisi kushindwa kuwapanga Dala Dala na kufanya kuwe na kero kubwa Kwa watumiaji WA njia Ile, Polisi WA usalama barabarani x 3 , pia Buguruni Polisi njia, barabara imegeuzwa soko, usalama mdogo uchafu mwingi Polisi hawafanyi chochote mbele ya Kituo Chao, Aibu, halafu tunashangaa yaliyotokea Taifa mkapa
Wanapewa rushwa hamna polisi wa usalama pale tuna polisi wa kukusanya pesa bila kujali mazingira yake ya kazi kana yule afande sele watu wa gari za mizigo wakimpa 50k awapige faini daladala watu wa daladala wanampa 200k anaziacha gari just imagine hawa walitoa 50k ndiyo sheria inawalinda lakini wanapotezewa.
 
Haupo muda gani mizigo mingi ya sokoni muda wake wa kutoka inajulikana ni asubui mpka saa 6 muda huo magari yapo mengi tu.......

Wewe nimekwambia kama hujui kitu acha ujuaji kaa kimya jifunze hili swala limekuzidi taarifa nyingi hauna na halijakugusa ndio maana unaropoka ropoka
NImdau wa usafirishaji huu mwaka wa 24 , Dar naijua ndani nje .
Huwezi lazimisha mizigo ibebebwe na kirikuu au canter za kuchangia wakati watu wenyewe wa vigari vya mzigo hamjajipanga!
Mwisho wa magari ya kuchangia ni saa 6, daladala masaa yote ipo kazini bado mnataka mpewe umuhimu tu? Kwa nini msijipange mkawa na nyie mnapatikana muda wote ili watu hata wasiwe wanakuja mjini? Watu wanahangaika na mizigo kwenye madaladala maana nyie watu wa canter kuna muda ukifika hamfanyi tena kazi.
 
Kwa vile umeshaonyesha huna busara na matusi Yako, ni Bora mkaondolewa hapo, kwanza Magari yenu nayo ni chanzo Cha kuzuia njia
Karibu naona umekuja na id yako nyingine....umeona matusi yangu tu ila kashfa zako ujaziona

Hivi inakuwaje unataka uheshimiwe na wewe huna heshima hasa mitandaoni?
 
NImdau wa usafirishaji huu mwaka wa 24 , Dar naijua ndani nje .
Huwezi lazimisha mizigo ibebebwe na kirikuu au canter za kuchangia wakati watu wenyewe wa vigari vya mzigo hamjajipanga!
Mwisho wa magari ya kuchangia ni saa 6, daladala masaa yote ipo kazini bado mnataka mpewe umuhimu tu? Kwa nini msijipange mkawa na nyie mnapatikana muda wote ili watu hata wasiwe wanakuja mjini? Watu wanahangaika na mizigo kwenye madaladala maana nyie watu wa canter kuna muda ukifika hamfanyi tena kazi.
Sasa mkuu mdau wa usafirishaji miaka 24 hafu unaongea vitu nonsense.Tatizo tushaozea kuishi kiholela bila ufuataji wa sheria zilizowekwa na tunaona sawa.

Daladala gani ikupakie ukiwa na mizigo muda ambao ana abiria wengi na daladala haziruhusiwi kubeba mizigo hapa mbona unaruka sana kwamba daladala zinavunja sheria.

Asubuhi watu wanataka kubeba mizigo sokoni wamejipanga na canter na virikuu vyote vipi freshi lakini daladala nazo kwakuwa asubuhi wakati wa kurudi abiria hamna na hawataki kurudi mswaki wanajifanya gari za mizigo kwa kupakia mizigo hiki ndio ninachokipigia kelele LATRA wafanye kazi yao.
 
Haupo muda gani mizigo mingi ya sokoni muda wake wa kutoka inajulikana ni asubui mpka saa 6 muda huo magari yapo mengi tu.......

Wewe nimekwambia kama hujui kitu acha ujuaji kaa kimya jifunze hili swala limekuzidi taarifa nyingi hauna na halijakugusa ndio maana unaropoka ropoka
unadhani ni kwa nini wanapakia kwenye daladala? na sidhani kama watu wa daladala wanawalazimisha kupakia
 
Wanapewa rushwa hamna polisi wa usalama pale tuna polisi wa kukusanya pesa bila kujali mazingira yake ya kazi kana yule afande sele watu wa gari za mizigo wakimpa 50k awapige faini daladala watu wa daladala wanampa 200k anaziacha gari just imagine hawa walitoa 50k ndiyo sheria inawalinda lakini wanapotezewa.
Sasa kwa mustakabali kama huu wa kushindana kuwahonga polisi hamuwezi kuja na jibu sahihi la tatizo .
Wekeni utaratibu wa kazi kwanza ili huo usafiri uwe unapatikana kwa masaa mengi na muwe na madereva waaminifu ambao hawachanganyi mizigo ya watu na wanaaminika ! Hakuna mtu anayependa kwenda mjini kuhangaika kama kuna option ya kuletewa mzigo hadi sehemu ulipo.
Daladala wanajua sana kujiongeza
 
Daladala sio gari ya mizigo ni gari za kubeba abiria wewe chawa na hizo daladala mbona mizigo mikubwa inawakataliwa wanaileta kwnye magari ya mizigo na wao wanchukua boksi peke yake mbona unaongea kama umeingizwa kitu kwenye kitundu cha kunyea.
Wewe mwanamke unatakiwa uelewe abiria wa daladala nao wana mizigo yao. Kuna sheria inayosema abiria wa daladala asiwe na mizigo? Dada Mnyunguli Pia uache matusi.
 
Sasa kwa mustakabali kama huu wa kushindana kuwahonga polisi hamuwezi kuja na jibu sahihi la tatizo .
Wekeni utaratibu wa kazi kwanza ili huo usafiri uwe unapatikana kwa masaa mengi na muwe na madereva waaminifu ambao hawachanganyi mizigo ya watu na wanaaminika ! Hakuna mtu anayependa kwenda mjini kuhangaika kama kuna option ya kuletewa mzigo hadi sehemu ulipo.
Daladala wanajua sana kujiongeza
Kaka iko hivi miaka ya nyuma mambo yalikuwa yanaenda vizuri sana tu....shida imekuja ilipoanza ruti ya gari za gongo la mboto,chanika,homboza,pugu,kigogo, kuja hapa machinga complex hawa jamaa asubui wakishamwaga abiria wao wanakiwa wanarudi hamna abiria so ndio wanaaamua kuja kutega pale boma ambapo ndipo kuna gari nyingi za mizgo zinakuwa zimepaki asubuhi.

Na hili la mizigo kupotea pia upo sahihi nakuunga mkono hapa inabidi wajirekebishe.
 
Sasa mkuu mdau wa usafirishaji miaka 24 hafu unaongea vitu nonsense.Tatizo tushaozea kuishi kiholela bila ufuataji wa sheria zilizowekwa na tunaona sawa.

Daladala gani ikupakie ukiwa na mizigo muda ambao ana abiria wengi na daladala haziruhusiwi kubeba mizigo hapa mbona unaruka sana kwamba daladala zinavunja sheria.

Asubuhi watu wanataka kubeba mizigo sokoni wamejipanga na canter na virikuu vyote vipi freshi lakini daladala nazo kwakuwa asubuhi wakati wa kurudi abiria hamna na hawataki kurudi mswaki wanajifanya gari za mizigo kwa kupakia mizigo hiki ndio ninachokipigia kelele LATRA wafanye kazi yao.
Daladala kupakia mizigo ni udhaifu wenu wa watu wa magari ya mizigo, hamjajipanga ndo maana daladala zinawachukulia wateja!
Hapo hapo kariakoo nenda mtaa wa msimbazi kuna noah zinabeba mizigo kwenda mlandizi kajifunze kitu . Zipo hadi saa mbili usiku
 
NImdau wa usafirishaji huu mwaka wa 24 , Dar naijua ndani nje .
Huwezi lazimisha mizigo ibebebwe na kirikuu au canter za kuchangia wakati watu wenyewe wa vigari vya mzigo hamjajipanga!
Mwisho wa magari ya kuchangia ni saa 6, daladala masaa yote ipo kazini bado mnataka mpewe umuhimu tu? Kwa nini msijipange mkawa na nyie mnapatikana muda wote ili watu hata wasiwe wanakuja mjini? Watu wanahangaika na mizigo kwenye madaladala maana nyie watu wa canter kuna muda ukifika hamfanyi tena kazi.
Umeongea point. Mleta mada ni kama mchawi hataki watu wajipatie riziki.
 
Wewe mwanamke unatakiwa uelewe abiria wa daladala nao wana mizigo yao. Kuna sheria inayosema abiria wa daladala asiwe na mizigo? Dada Mnyunguli Pia uache matusi.
wewe MamaSamia2025 mbona umenitukana hapo juu bila sababu......hapa nazungumzia mizigo sio mizigo ya nguo mbili tatu ya kukaa kwenye kwenye mifuko.
 
Thread hii imeandikwa na mwenyekiti wa wenye virikuu na matoyo...

Anyway kwa kiasi fulani upo sahihi, kuna kiwango cha mzigo kinachoruhusiwa kuingia kwa gari za abiria...
 
Daladala kupakia mizigo ni udhaifu wenu wa watu wa magari ya mizigo, hamjajipanga ndo maana daladala zinawachukulia wateja!
Hapo hapo kariakoo nenda mtaa wa msimbazi kuna noah zinabeba mizigo kwenda mlandizi kajifunze kitu . Zipo hadi saa mbili usiku
Noted hapa upo sahihi.....nini kifanyike kwa uzoefu wako boss.
 
Back
Top Bottom