MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
- Thread starter
- #21
Daladala sio gari ya mizigo ni gari za kubeba abiria wewe chawa na hizo daladala mbona mizigo mikubwa inawakataliwa wanaileta kwnye magari ya mizigo na wao wanchukua boksi peke yake mbona unaongea kama umeingizwa kitu kwenye kitundu cha kunyea.Wewe ni mchawi. Mizigo ikipakiwa kwenye daladala haifiki? Huo ubongo wako utumie vizuri badala ya kuwaza fitina na kuwaonea wivu watu wa daladala. Hatuwezi kuendelea kwa uwepo wa watu wenye roho mbaya kama wewe.