LATRA, suala la daladala za abiria kubeba mizigo ndiyo utaratibu mpya?

Thread hii imeandikwa na mwenyekiti wa wenye virikuu na matoyo...
Hahaahaha mkuu sina chochote hapo nipo tu seneor jobless nimeandika kwa uchungu maana mtegemezi wangu ugali wake uko hapo analalamika kila siku hao jamaa wanatunyima hela.......
 
Route zote mpya zinakuja na changamoto zake vituoni . Kwa dar karibu route zote mpya ni ndefu,
 
Route zote mpya zinakuja na changamoto zake vituoni . Kwa dar karibu route zote mpya ni ndefu,
Sasa watu wamevumilia si unajua mwanzoni ile mtu unachukulia poa hasa sasahivi ishakuwa tabia na imeota mizizi naamini LATRA wakija siku moja tu na faini zao za laki tatu hawarudii kwa sababu hata mabos wa hzo daladala hawapendi gari zao zibebe mizigo....
 
Faini kubwa kubwa za mamlaza za kitanzania hazijawahi kusaidia mtu wala serikali . sana sana zinaalika vikao vya rushwa na mtoa fine . Ndicho wafanyabiashara wanalalamikia Tra na faini zao za mamilioni.
mkijipanga nyie watu wa mizigo hata hao wanaokwenda kupakia matenga kwenye dala dala watarudi kwenu.

kama mkiamua kutumia noah badala ya kirikuu ambayo kila trafiki anaiona kama open cheque ! Hamuwezi kubadilisha upepo?
 
Karibu naona umekuja na id yako nyingine....umeona matusi yangu tu ila kashfa zako ujaziona


Hivi inakuwaje unataka uheshimiwe na wewe huna heshima hasa mitandaoni?
Sina id nyingine Ndugu, ila matusi yanadifine Star Yako!! Usipende sana kutukana katika kujenga hoja zako!! Ushauri
 
Hawapendi sana, ila wanampenda abiria jinsi alivyokuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…