Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 723
Hawa LATRA wa Makambako naona wamekaa kituoni Makambako kukata faini za 250000.
Hawana huruma na wafanyabiashara kabisa.Gari ikienda Mbeya na kurudi hesabu yake ni 150000.
Wenyewe wanamkatia mtu faini tatu mbili huku wakitishia kufungua magari Tena kwa vikosa vidogo vidogo kama mkanda haufungi ticketi mtandao umesumbua Kila kosa lakimbili nanusu.
Wanataka kuua kanisa biashara ya usafirishaji Iringa Njombe Mbeya.
Faida yote na mtaji wanachukua wao. Gari iharibike utengeneze wewe. Ikirudi babarani kabla hata hujapata Hela Wana andika mafaini yasiyo lipika. Kodi ziko juu barabarani LATRA. Kuna biashara hapo?