LATRA wa Makambako hawana huruma na Wafanyabiashara kabisa

LATRA wa Makambako hawana huruma na Wafanyabiashara kabisa

Walipe faini kwani wanabeba watu.
Hawapaswi kuonewa huruma hao.
Hawa jamaa wamejipa jukumu ambalo ni la TRA.Maana Hawa jamaa at the end gari Ina lipa zaidi hata ya TRA.Gari ikiwa na vyote Wana Anza kucheki kama mikanda imelegea ili waandike 250000
 
Ukisema kufunga mkanda siyo kosa basi unakosea sana
Kufunga mkanda ni police offense ambalo ni elfu theratbini lakini wao huandika 250000.Nafikiri wanapercent kubwa maana wanatafutiza hata kosa lisilo stahili
 
Unaongea kama mbumbu wa biashara kabisa.Ungekaa kimya inge kusaidia.Wengi hawaagizi mabasi kama zamani.Hujui athari zake hata mapato ya bandari yana a athirika Nani alete gari ambalo m nufaika ni LATRA?

Nyie ndio mbumbumbu, fateni sheria za nchi, period

Faini ziongezwe kwa wajinga kama nyinyi
 
Back
Top Bottom