Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 723
Itabidi tuongee na wenzagu na sisi tugome kama Kariakoo naona ndio mtindo wa kisasaWagomeeni tu kulipa hizo faini
Mheshimiwa waziri unapo pokea maoni ya DP World naomba uangalie na hii keroyetuItabidi tuongee na wenzagu na sisi tugome kama Kariakoo naona ndio mtindo wa kisasa
Sifikiri kama ni afya kama tutafunga biashara.Nadhani Loosers watakuwa sisi tu Bali na serikali piaMheshimiwa waziri unapo pokea maoni ya DP World naomba uangalie na hii keroyetu
Magari kuuza shida labda tuwa uzie LATRA wenyeweSifikiri kama ni afya kama tutafunga biashara.Nadhani Loosers watakuwa sisi tu Bali na serikali pia
Kwamba Kuna inefficiency mahali?Mheshimiwa waziri unapo pokea maoni ya DP World naomba uangalie na hii keroyetu
Ndio ninacho kiona maana naona kama mapato Yao ni kuwa barabarani waandike faini.Kwamba Kuna inefficiency mahali?
Wamegeuza ni mradikamiliNdio ninacho kiona maana naona kama mapato Yao ni kuwa barabarani waandike faini.
Sawa pambana na fineSifikiri kama ni afya kama tutafunga biashara.Nadhani Loosers watakuwa sisi tu Bali na serikali pia
Waiandikie New Force Kama hawataki kazi.Hawa LATRA wa Makambako naona wamekaa kituoni Makambako kukata faini za 250000.
Hawana huruma na wafanyabiashara kabisa.Gari ikienda Mbeya na kurudi hesabu yake ni 150000.
Wenyewe wanamkatia mtu faini tatu mbili huku wakitishia kufungua magari Tena kwa vikosa vidogo vidogo kama mkanda haufungi ticketi mtandao umesumbua Kila kosa lakimbili nanusu.
Wanataka kuua kanisa biashara ya usafirishaji Iringa Njombe Mbeya.
Faida yote na mtaji wanachukua wao. Gari iharibike utengeneze wewe. Ikirudi babarani kabla hata hujapata Hela Wana andika mafaini yasiyo lipika. Kodi ziko juu barabarani LATRA. Kuna biashara hapo?
Ukigoma gari inapelekwa kituoni ambako nako utalipa Tu Ila kiukweli hawa LATRA waangaliwe faini zao ni kubwa hazilipiki. Imagine mtu unapigwa faini ya Hadi laki 6 huko uilipe ndani ya masaa machache na ukichelewa Tu unakuta gari ipo kituoni.Wagomeeni tu kulipa hizo faini
Ni ya nani....? New forceWaiandikie New Force Kama hawataki kazi.
Mtandao ulisumbua baadhi ya abiria walikuwa hawana ticket za electronicsUjatuambia ukifanya kosa Gani...? Sasa ebu tuambie kosa ulilo lifanya tujue jinsi ya kukushauri
Unaongea kama mbumbu wa biashara kabisa.Ungekaa kimya inge kusaidia.Wengi hawaagizi mabasi kama zamani.Hujui athari zake hata mapato ya bandari yana a athirika Nani alete gari ambalo m nufaika ni LATRA?Fateni sheria za barabara, mnalalamika wakati hamfati sheria
Latra ongezeni faini hadi 600,000