Hawa jamaa wamejipa jukumu ambalo ni la TRA.Maana Hawa jamaa at the end gari Ina lipa zaidi hata ya TRA.Gari ikiwa na vyote Wana Anza kucheki kama mikanda imelegea ili waandike 250000
Kufunga mkanda ni police offense ambalo ni elfu theratbini lakini wao huandika 250000.Nafikiri wanapercent kubwa maana wanatafutiza hata kosa lisilo stahili
Unaongea kama mbumbu wa biashara kabisa.Ungekaa kimya inge kusaidia.Wengi hawaagizi mabasi kama zamani.Hujui athari zake hata mapato ya bandari yana a athirika Nani alete gari ambalo m nufaika ni LATRA?