LATRA wamulikeni zaidi Katarama Luxury

LATRA wamulikeni zaidi Katarama Luxury

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,497
Reaction score
16,180
Wakuu hope mko poa kabisa.

Straight to the topic.

Kama siku kadhaa nyuma LATRA waliwafungia hawa Katarama kutokana na uvunjifu wa taratibu za usafirishaji.

Sasa leo nakuja na malalamiko kuwahusu hawa jamaa kama ifuatavyo.

Mosi siku ya jumatatu nimwsafiri na bus lao (wanaloita vip) kutoka dar kwenda mwanza saa mbili usiku lakini hilo bus halina hadhi ya VIP, usb charging ports bus zima hazifanyi kazi na WAHUDUMU WAKE NI UNPROFESSIONAL kabisa.

Pia, Soma: LATRA yasitisha leseni ya kampuni ya mabasi ya Katarama

Pili leo natoka Mwanza kuja Dar na bus ambalo ilipaswa litoke stand ya NATA saa saba na nusu ila mpaka muda huu saa nane na nusu bus halijafika na maelezo yao bus lipo SCANIA na wameahidi lingefika saa nane kamili.

Sasa hii itapelekea kuanza kukimbia barabarani ili kufidia muda waliopoteza kitu ambacho kinaweza kupelekea ajali zisizo na ulazima

Wito kwenu LATRA, kama hawa watu hawawezi kufuata taratibu ni bora mkawafungia kabisa haina haja ya kua na wasafirishaji wajanja wajanja wasiofuata taratibu.

Nawasilisha.
 
Nalipa nauli ili nipate huduma ambazo wanazinadi. Kama nisipopata walichoniahidi kwanini nisilalamike?
Kafie mbele. Umelipa bei gani urudishiwe? Acha kuchafua brand za watu. Au umetumwa?
 
Bora hao hapo air Tanzania, safari ilio kua ya siku moja sasa imekua ya siku tatu duh, Latra kama inanguvu uanze na air Tanzania wamezidi duh.
 
Bora hao hapo air Tanzania, safari ilio kua ya siku moja sasa imekua ya siku tatu duh, Latra kama inanguvu uanze na air Tanzania wamezidi duh.

Halafu iwatembelee trc
 
Hawa Chawa wa Machungwa Wana shida sana , kuchafua tu brand na nyie leteni Scania
 
Screenshot_20241004-161720.png
Acha uongo hakuna VIP ya saa mbili usiku mkuu
 
Nalipa nauli ili nipate huduma ambazo wanazinadi. Kama nisipopata walichoniahidi kwanini nisilalamike?
Mkuu,

Wabongo bado hawajaelewa dhana nzima ya consumer protection advocacy na kupambana na false advertisement.

Ndiyo maana wanakuona mlalamishi.

Ndiyo maana hatuendelei.

Mtu akidai haki yake na vitu vya kuleta maendeleo, wananchi wenzake ambao nao pia watafaidika na mabadiliko hayo wanamuona mlalamishi na kumvunja moyo kwa kauli kama "panda ndege" na "nunua gari lako".

Ni fikra fulani za umasikini mkubwa sana wa mawazo.

Mimi nakuelewa sana, ila nachelea kuna Wabongo wengi sana bado ni washamba.

Ashakum si matusi.

Yani watu hawa ni kama washazoea kubakwa, wakiona mtu analalamika katiwa kidole mkunduni wanasema "wewe unalalamika nini kutiwa kidole mkunduni tu wakati sisi tunabakwa kila siku?".

Hawaelewi kuwa haitakiwi mtu abakwe wala atiwe kidole mkunduni.

Nimetumia lugha kali makusudi kuonesha picha vizuri.
 
Back
Top Bottom