A
Anonymous
Guest
Daladala za Kisemvule - Gerezani zimekuwa kero, tangu nauli zimepanda Mei 1, 2026 haziji kituoni badala yake zinapaki kona ya Gold Star na nauli watu wanalipishwa sh 1,900 ukiifata kule kona swali langu ni je, LATRA wanalifahamu hili?
Je, wanatusaidiaje kwenye hili, muda mwingine unaweza ukazikuta daladala tatu mpaka nne zimepaki hapo na ukizifata tu pale konda anakwambia umegeuza na gari, je, hii ni sawa hasahasa ni mida ya jioni, naomba ufafanuzi katika hili kwa mamlaka husika.
Ukizingatia asubuhi muda mwingine wanatushusha hapohapo na wanaondoka, huu ni wizi na siyo hali, ikiwa nauli halisi ni Sh 1,200 na watu wanalipishwa mia 700 zaidi.
Pia soma ~ LATRA: Tumeanza kufunga ving'amuzi vya VTS kufuatilia Daladala zinazokatisha ruti na kuzidisha nauli