LATRA yafungia Mabasi ya KATARAMA

LATRA yafungia Mabasi ya KATARAMA

Jemima Mrembo

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
2,864
Reaction score
8,328
Screenshot_20230303-150654_Gallery.jpg
Mamlaka ya udhibiti wa vyombo vya usafirishaji nchi kavu umezifungia leseni za kutoa huduma ya usafiri kati ya Dar na Mwanza mabasi ambayo yametokea kupendwa sana na abiria.
Screenshot_20230303-150540_Gallery.jpg

Hizi zitakuwa tu ni janja janja za Ally's maana Katarama imetookea kupendwa sana, inajaza mapema sana.
 
View attachment 2535907Mamlaka ya udhibiti wa vyombo vya usafirishaji nchi kavu umezifungia leseni za kutoa huduma ya usafiri kati ya Dar na Mwanza mabasi ambayo yametokea kupendwa sana na abiria.
View attachment 2535909
Hizi zitakuwa tu ni janja janja za Ally's maana Katarama imetookea kupendwa sana, inajaza mapema sana.
I wish nirudi mwanzaaa kwa udhamini wa bwana kaka
 
Katarama kampindua Ally’s na bado mpango uliopo anataka ateke kanda ya ziwa yote
 
Back
Top Bottom