LATRA yapiga marufuku Taxi kutumika kama daladala Chato, wenyewe wasema ni ushindani wa soko!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mamlaka ya usafiri wa ardhini Latra mkoani Geita imepiga marufuku magari madogo yaani Taxi kubeba abiria kama daladala
Afisa wa Latra amesema leseni za magari madogo haziwaruhusu kubeba abiria kama daladala.

Nao wamiliki wa magari madogo wamesema wanalazimika kutumia utaratibu huo kwa sababu ushindani baina yao na wale wa Bodaboda na baiskeli ni mkubwa sana.

Zaidi ya magari 60 yamekamatwa kwa kukiuka taratibu za leseni.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Kigoma yote ni mwendo wa pro box tu na maisha yanakwenda
 
Jiji la Chato linatumia baiskeli kama usafiri rasmi wa abiria?
 
Teksi kama daladala zinasave sana hasa nyakati za usiku sema nauli inakua 1000 badala ya 400 au 500
 
Mamlaka ya usafiri wa ardhini Latra mkoani Geita imepiga marufuku magari madogo yaani Taxi kubeba abiria kama daladala
Afisa wa Latra amesema leseni za magari madogo haziwaruhusu kubeba abiria kama daladala.

Nao wamiliki wa magari madogo wamesema wanalazimika kutumia utaratibu huo kwa sababu ushindani baina yao na wale wa Bodaboda na baiskeli ni mkubwa sana.

Zaidi ya magari 60 yamekamatwa kwa kukiuka taratibu za leseni.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
CHATO??? Kuna nini tena jamaniii!
 
Si nilisikiaga kwamba eti Chato wanajenga treni ya umeme?
 
Chato gani tena hyo!!?
Hiv hao LATRA wanajua kuwa kuna baadhi ya maeneo usafir kupata ni kazi ( upo ila unachukua mda sana had kuanza safari) hiv vitex vilikiwa vinatusaidia sana hasa unapokuwa na mgonjwa au mzee ambae hawez kaa kwenye pikipiki
 
Mamlaka ya usafiri wa ardhini Latra mkoani Geita imepiga marufuku magari madogo yaani Taxi kubeba abiria kama daladala
Afisa wa Latra amesema leseni za magari madogo haziwaruhusu kubeba abiria kama daladala.

Nao wamiliki wa magari madogo wamesema wanalazimika kutumia utaratibu huo kwa sababu ushindani baina yao na wale wa Bodaboda na baiskeli ni mkubwa sana.

Zaidi ya magari 60 yamekamatwa kwa kukiuka taratibu za leseni.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!

Hili katazo ni applicable kwenye jamhuri ya Chatto peke yake?

Kazi kweli kweli.

Yaonyesha tunaelekea kwenye hadithi kamili ya Kalumekenge aliyekataa kwenda shule!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Back
Top Bottom