johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
it's funnyUshindani kutoka kwenye baiskeli?
Kwa hiyo ,abiria wanaenda kupanda ndege wanaenda kwa baisikeli hadi uwanja wa ndege?Jiji la Chato linatumia baiskeli kama usafiri rasmi wa abiria?
Hata Dar es salaam usafiri wa baiskeli upo bwashee.... Pale Africana mbezi beach!Jiji la Chato linatumia baiskeli kama usafiri rasmi wa abiria?
CHATO??? Kuna nini tena jamaniii!Mamlaka ya usafiri wa ardhini Latra mkoani Geita imepiga marufuku magari madogo yaani Taxi kubeba abiria kama daladala
Afisa wa Latra amesema leseni za magari madogo haziwaruhusu kubeba abiria kama daladala.
Nao wamiliki wa magari madogo wamesema wanalazimika kutumia utaratibu huo kwa sababu ushindani baina yao na wale wa Bodaboda na baiskeli ni mkubwa sana.
Zaidi ya magari 60 yamekamatwa kwa kukiuka taratibu za leseni.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Si nilisikiaga kwamba eti Chato wanajenga treni ya umeme?Mamlaka ya usafiri wa ardhini Latra mkoani Geita imepiga marufuku magari madogo yaani Taxi kubeba abiria kama daladala
Afisa wa Latra amesema leseni za magari madogo haziwaruhusu kubeba abiria kama daladala.
Nao wamiliki wa magari madogo wamesema wanalazimika kutumia utaratibu huo kwa sababu ushindani baina yao na wale wa Bodaboda na baiskeli ni mkubwa sana.
Zaidi ya magari 60 yamekamatwa kwa kukiuka taratibu za leseni.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Ni kujiongeza tu bwashee!Teksi kama daladala zinasave sana hasa nyakati za usiku sema nauli inakua 1000 badala ya 400 au 500
Mamlaka ya usafiri wa ardhini Latra mkoani Geita imepiga marufuku magari madogo yaani Taxi kubeba abiria kama daladala