BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini LATRA imesitisha leseni za usafirishaji kwa mabasi 22 kwa kipindi cha mwezi Januari hadi Februari,2023
Hatua hii ni kutokana na vitendo vya kuingilia Mfumo wa Kufuatilia Mwenendo wa Magari (VTS) na kusababisha mfumo kutotuma taarifa ama kutuma taarifa kwa kurukaruka (skipping).