Laughter series:Another lesson from monkeys

Laughter series:Another lesson from monkeys

Kwetunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2007
Posts
1,535
Reaction score
412
Carefull, animal adult content!!
Sidhani kama ina tatizo, ila naweza kupingwa, ndio demokrasia!!

Nimejiuliza maswali mengi nimeshindwa kufikia muafaka, labda wengine pia wasaidie. Embu cheki hiyo attachment!!

1. Huyu nyani mdogo inawezekana yule in mama yake yuko na jamaa ambaye sie baba yake? Sina hakika kama nyani ni wachoyo i.e. kila mtu na totoz yake

2. Au bwana mdogo stimu zilimpanda nae akawa ana-beep ili jamaa amuachie?

3. Au bwana mdogo aliona jamaa anawayeyusha?

Enjoy............................
 

Attachments

hahahahaha! very very fun mtu wangu..naona watu waogopa toka mdau naniii aweke kimeta kwenye ile attachment watu kwikwwi kwik hawataki kufunga attachment nowdays...but zis one is very funny! huyo nyani mdogo anawivu tu mana kambeep kidume starehe yote ikapotea
 
Back
Top Bottom