Lavalava ana mkosi upi, Mbosso na Zuchu walimkuta ila wamemchapa gepu

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Lavalava anaimba vizuri sana sasa sielewi tatizo lipo wapi.

Lava lava kaanza kuachia kazi zake 2017 may


Hata baada ya kutafuta kiki katoa ngoma nzuri ila bado ina sua sua



Mbosso - Agosti 2018



zuchu - april 2020, saizi ni moto mkali sana

 
Mbosso na Lavalava wanaimba aina moja ya muziki yaani mahadhi ya pwani flani..
wote wanalenga audience moja kwa hiyo its natural mmoja angepanda na mwingine kushuka

Hapo kinachohitajik mmoja abadilishe aina ya muziki ambao hadi sasa mzani umeegamia kwa Lavalava maana mbosso tayari ashafanikiwa nayo na imekuwa identity yake. Lavalava nae kubadilika ni ngumu ndio maana anaonekana kama anarukaruka
 
Lava lava Hana kipaji , ni moja ya wasanii ambao diamond alichochora ...!!! Ushaur wangu yeye anatakiwa awe backup pale WCB, awe anawatungia nyimbo akina Zuchu , mana wao akli ya kumodifie wimbo ili uwe hitsong wanayo..Ila yeye hana
 
Lava lava nyimbo zake karibia zote zinajulikana ni kulalamika kuhusu kuteswa na mapenzi,et na yeye akae atunge nyimbo kumchamba Harmonize!! Seriously?
Nyimbo zake zinaboa...No beating around the bush!!!
 
Lava lava Hana kipaji , ni moja ya wasanii ambao diamond alichochora ...!!! Ushaur wangu yeye anatakiwa awe backup pale WCB, awe anawatungia nyimbo akina Zuchu , mana wao akli ya kumodifie wimbo ili uwe hitsong wanayo..Ila yeye hana
Hahahah hili niliwahi fikiri kuwa Lavalava anapata wakati mgumu sana ku sustain game ya WCB
 
Ukiwa unafanya comparison usiwe unamuweka Zuchu...huyu demu ana nyota inakaribia ya diamond after two years ukitaja wasanii wakubwa wa kike Africa Zuchu atakuwa kwenye top 5 au 3. So uwe unamuweka pembeni ni special case.
 
Kumbe hadi chawa wa WCB mmemchoka basi hali yake ni mbaya, endeleeni kumsagia kunguni.
 
Lavalavaa amewazidi kina mboso na zuchu kwa kumiliki BAR tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…