Lavalava ana mkosi upi, Mbosso na Zuchu walimkuta ila wamemchapa gepu

Lavalava ana mkosi upi, Mbosso na Zuchu walimkuta ila wamemchapa gepu

nadhani ni aina ya mziki wake anaoimba mwanzo watu tulimkubali ila inachosha sana kulia kila siku asee ahahah, sex mama alibadilika na ikawa hit song aanze kuchangamka sasa. ingawa EP kafanya poa kidogo. Ila ni mtunzi mzuri sana inshort WCB wanawatu wanajua kutunga.
 
Lavalava anaimba vizuri sana sasa sielewi tatizo lipo wapi.

Lava lava kaanza kuachia kazi zake 2017 may

View attachment 1845084
Hata baada ya kutafuta kiki katoa ngoma nzuri ila bado ina sua sua
View attachment 1845122


Mbosso - Agosti 2018

View attachment 1845085

zuchu - april 2020, saizi ni moto mkali sana

View attachment 1845086
Bora huyo hata show moja moja anapigaga, ila kuna wengine wapo kwenye label nyingine tokea 2018,hawajamfikia hata Queen Doreen.
 
Hii ni hasara kwa diamond atazeeka nayoo ila wanao toboaa waachiweeee kama harmonize.
 
Sababu ni hii..
Lavalava alikua hafahamiki kabla ya kutambulishwa na wasafi, fanbase yake ni ile aliyoipata palapale wasafi.

Mbosso yeye alikua na fanbase hata kabla ya kua wasafi. Alikua ya moto na mashabiki kibao.

Zuchu wote tuliona jinsi alivyoingizwa kwenye gane kwa nguvu kubwa tofauti na ilivokua kwa lavalava.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sure mkuu
Na.hicho ndcho kinamlaiza na ASLAY waokilakukicha wanatendwa mara waitwe vibamia sijui nini? Wakati mbosso kutwa kujisifia mshedede
 
Ana sura ya kimama mama na kujivalisha mahereni ya kuning'inia na Kiki za kijinga. Atabakia hapo hapo
 
Zuchu hatakiwi kulinganishwa na hao... Levo ya Zuchu ni Diamond! Zuchu ni Heavyweight female artiste wa East and Central Africa kwa sasa
 
Lava lava Hana kipaji , ni moja ya wasanii ambao diamond alichochora ...!!! Ushaur wangu yeye anatakiwa awe backup pale WCB, awe anawatungia nyimbo akina Zuchu , mana wao akli ya kumodifie wimbo ili uwe hitsong wanayo..Ila yeye hana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi wee umemchoka, bas inabidi ajitafakari lol
 
Angejitoa pale akawa peke yake labda atatusua,si kila msanii anaweza fanya vizuri akiwa chini ya lebo..hata hao akina diamond wamekuwa hivi bila kuwa chini ya lebo yoyote...tatizo nalo ukijitoa watakwambia tumewekeza zaidi ya mil300,sasa lava lava anaweza kulipa hata mil50 tu kama fidia ya kujitoa wcb!!!
 
Nyimbo zake nyingi zinafanana watanzani tumuangaliene na Kayumba wanajua sana
 
Back
Top Bottom