Lavalava awekewe mstari wa maelngo wa kuendelea kubaki WCB, Hatuoni maendeleo

Khaa..!!Humuelewi muhindi wa kibiti Fundi Mbosso??Ebu skiliza Hodari,Nipepee,Tamu,Picha yake,Nadekezwa,Maajabu alaf urudi tena mamilox,,Mbosso muziki wake unaitwa Baibuda
Yeye anazungumzia aina ya mziki ndo apendi ila amaanishi anaimba vibaya au nyimbo zake mbaya.
 
Mtoa mada unaonekana ufatilii mziki lavalava ni fundi Sana ametoa mbona hits nyingi Kama go Gaga,nitake Nini,bora tuachane,niuwe,Teja,gundu n.k na zote zimefanya vizuri kuhusu kimataifa subiri akifanya ngoma na Simba ndo ataanza kun'gaa kimataifa hao wengine km harmonize, rayvanny wameboostiwa Sana na Simba kwa collaboration.
 
Mpaka sasa jamaa hana kiki pale wcb ndo tatizo tofauti na wenzie wote kiki ndio asili ya boss wao alichojenga washabiki wa wcb wanafatilia matukio zaidi kwahiyo huy kashindwa kuendana na wcb upande wa kiki lakini upande wa kuimba anajua mziki wake pia unakubalika
 
Khaa..!!Humuelewi muhindi wa kibiti Fundi Mbosso??Ebu skiliza Hodari,Nipepee,Tamu,Picha yake,Nadekezwa,Maajabu alaf urudi tena mamilox,,Mbosso muziki wake unaitwa Baibuda
Hamna kitu. .promo tu. .hao wawili wote wana bebwa na promo. .wakitoa nyimbo 10 ,,2 tu ndio zinakuwa nzuri .ila nyingine zote zilizobaki zita hit kwa sababu ya nguvu ya promo
 
Humjui lava lava wewe

Bora tuachane wimbo wake wa kwanza ulikua ni wimbo wa taifa...

Go gaga na niuwe ndio nyimbo zinazopigwa club kila baada ya dk 20
Dede nao umemshika kila mtu
Acha kusifia ujinga...Harmo, Rayvanny,Mboso na Simba mwenyewe ni wa kimataifa..yeye anafanya nini hapo WCB? aondoke.
 
Kweli penye riziki hapakosi fitina, yaani badala ya kumshauri aboreshe muziki wake wewe unataka aondoke kabisa
Acha kusifia ujinga...Harmo, Rayvanny,Mboso na Simba mwenyewe ni wa kimataifa..yeye anafanya nini hapo WCB? aondoke.
 
Kuna interview moja diamond alisema wazi Rayvanny hafanyi show chini ya 30m
Mond ndo kiboko alisema nje ya tz anapiga show 170m akiwa hajakatwa kodi.....rayvanny nje 50m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…