Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
bora hata Qboy msafi si unaona ngoma zake zilivyotulia kuliko huyu jamaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana aisee,
Ila si ndio mbadala wa Q chillah hapo WCB au?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahh eti muimba qaswida...uncle chuki sio nzuri ujue
Mpeni muda, ila nilichoona hapewi promo kubwa kama ilivokuwa kwa akina harmonize na rayVanbora hata Qboy msafi si unaona ngoma zake zilivyotulia kuliko huyu jamaa.
Angalia ngoma kama Mugacherere ilivyotulia na alivyoitendea haki.
Aisee.Utakua mpiga dili kakuimba umechukia unaona raha gani kijana mtafutaji akifukuzwa kazi? Soon utaomba baba ako afe urithi Mali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana uwezo wa kumchukua mke wangu.
Hapendezi hata kidogo yaani.hata mimi namuona msanii wa kawaida sana wcb hajafiti bado
Hakuna kitu chochote mkuu kati yangu na lavalava.Hapa kuna kitu sio bure aisee!!