Lavalava ni bundi aliyetua WCB.

Lavalava ni bundi aliyetua WCB.

Unaposema haendani na soko la muziki, kwani soko la muziki linaelekea wapi na huyo Lavalava anaelekea wapi?
 
Nyie wasanii wa kibakuli tokeni king music mnapotea kibakuli hana atakalowasaidia
 
Gundu ni bonge la ngoma.
Walewale beat kali.
Dede kuna mashairi makali.
Bora tuachane natoaga machozi.

Lavalava noma sana. Mi mkali anakera.
 
ngoja nikamsikilize maana hata nyimbo zake sizijuii vizuriii
 
Back
Top Bottom