M2mwembamba
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 2,491
- 1,095
Hata mimi simkubali kabisaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna mbona Zarina kajibebea dimondo,Aunt kajibebea Iyobo, na wote hawa hawajawapa ngwengwee wanazidi kupasua anga.Sio yatampa ngwengweee au nyota itachafukaaaa
Kabisaacha chuki , Lavalava anajua sana mbona mimi binafsi namkubali kuliko hata hao unaowaona wewe wazuri labda... wimbo wake wa bora tuachane ni mzuri sana sana, anajua kutumia lafudhi ya Kiswahili vizuri
yaani wimbo ule na wa somo wa kassim mganga nikiusikia najiskia kama kweli niko pwani ya africa mashariki
Roho ya jikoni hii, mwanaume hawezi kuwa Dwanzi kama wewe!bora hata Qboy msafi si unaona ngoma zake zilivyotulia kuliko huyu jamaa.
Angalia ngoma kama Mugacherere ilivyotulia na alivyoitendea haki.
Uani
Mi mwenyewe mwanzo nlikua simuelewi kama weweHakika hakuna kitu I'mnilichochukia na ninachoendelea kuchukia kama kusainishwa na kuendelea kumuona Lavalava WCB.
Huyu muimba kaswida hafai kabisa kuwepo ndani ya kundi na tangu aingie WCB anazidi kutuongezea mikosi tu.
Ni mara mia nafasi yake tungebahatika kumpata mtu kama Shetta au hata huyu bwana mdogo Neddy kuliko huyu aliyetoroka madrassa na kuja kutuletea mikosi tu ndani ya WCB.
Hata katika wimbo wa zilipendwa kipande chake kibovu sana ,pale angekaa Shetta ,Shettani au baba Qaylah ingekuwa poa sana.
Huyu lavalava kwanza kakaa kishamba shamba halafu damu ya nguo hana kabisa.
Bora hata akaimbe baikoko ndio saizi yake , huku kwingine hakuwezi kabisaaa.
View attachment 582949
Una umri gani mkuu?Mi mwenyewe mwanzo nlikua simuelewi kama wewe
kiukweli hana muonekano wa kisanii ana umbo baya sana hapendezi ata avae nn
ila anafanya mziki mzuri koo muache aendelee kula matunda yake maana kilichompeleka pale ni kazi
Eti ana umbo baya, sijui watu mna macho ganiMi mwenyewe mwanzo nlikua simuelewi kama wewe
kiukweli hana muonekano wa kisanii ana umbo baya sana hapendezi ata avae nn
ila anafanya mziki mzuri koo muache aendelee kula matunda yake maana kilichompeleka pale ni kazi
Ya Ophrah.