Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
Lavalava kitu kinachomkwamisha kutoendelea kimziki kwanza ana kaulimbukeni marafiki zake wanaomzunguka ni walamba midomo hawawezi kumshauri chochote zaidi ya mademu.
Lavalava anatakiwa abadilike otherwise atapitwa kila siku kwasababu ya uzembe wake na pia hajitathimini upya ili kuongeza mvuto kwa mashabiki sio kulamba lamba mdomo.
Zuchu ni Mtoto mdogo ila kampita kila kitu yeye bado yupo vile vile kama Sanamu.
Uongozi wa WCB unamuonea huruma kumbeba tu ila hana maajabu yeyote.