Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
Beijing China.Lavalava ni msanii wa wapi?
OkayBeijing China.
Tuko wengi mkuu sio peke yako! Mzik wake bongo tu hausikiki sijui ana plan Gan uzeenMimi mara kadhaa ninapofikiria kuhusu wasanii waliopo WCB, Lavalava huwa simkumbuki mara nyingi
Hata mimi nimeshangaa sana wakati hapo WCB namsikiliza Mbosso na lava lava tusidhani kama unachosema ni sahihi
[emoji817][emoji3581]ukimuondoa diamond, rayvany, zuchu, mbosso, harmonize na kiba tanzania hakuna msanii anaemzidi lava lava mauzo kwenye digital platform.
lava lava hawezi kua kama wasanii wengine wa wcb coz katika maisha kuna levels, alipo yeye ndo level yake hivo asilazimishwe kua kama wengine.
Umenena vyema mkuuukimuondoa diamond, rayvany, zuchu, mbosso, harmonize na kiba tanzania hakuna msanii anaemzidi lava lava mauzo kwenye digital platform.
lava lava hawezi kua kama wasanii wengine wa wcb coz katika maisha kuna levels, alipo yeye ndo level yake hivo asilazimishwe kua kama wengine.
Baada ya uliowataja wamebaki wasanii gani?ukimuondoa diamond, rayvany, zuchu, mbosso, harmonize na kiba tanzania hakuna msanii anaemzidi lava lava mauzo kwenye digital platform.
lava lava hawezi kua kama wasanii wengine wa wcb coz katika maisha kuna levels, alipo yeye ndo level yake hivo asilazimishwe kua kama wengine.
Wewe ni msemaji WCB kupitia JF ,sisi inatuhusu na nini humu akifanya vizuri au asifanye vizuri,wacha domo kaya.Lavalava kitu kinachomkwamisha kutoendelea kimziki kwanza ana kaulimbukeni marafiki zake wanaomzunguka ni walamba midomo hawawezi kumshauri chochote zaidi ya mademu
Hahah wamebaki kina best naso, baraka de prince, baba levo n.kBaada ya uliowataja wamebaki wasanii gani?