[emoji1666]Thread closedukimuondoa diamond, rayvany, zuchu, mbosso, harmonize na kiba tanzania hakuna msanii anaemzidi lava lava mauzo kwenye digital platform.
lava lava hawezi kua kama wasanii wengine wa wcb coz katika maisha kuna levels, alipo yeye ndo level yake hivo asilazimishwe kua kama wengine.
Msaga sumuBaada ya uliowataja wamebaki wasanii gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah wamebaki kina best naso, baraka de prince, baba levo n.k