Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
nimecheka sana,Huyu muimba kaswida muziki hauwezi,anatuletea nuksi tu pale Wasafi Classic Baby.
Yaani upo kwa mind zng kabisa huyu jamaa hajui mzikiHuyu muimba kaswida muziki hauwezi,anatuletea nuksi tu pale Wasafi Classic Baby.
Kwahiyo mnabishana na Diamond
Anatuzingua tu.
Hahahahahah.... Kibongobongo kweli lazima watoto wa Baba Jesca washangae!!!
Anatuzingua tu.
Sidhani kama anaweza kututolea ngoma za ku bang bang ma nights clubs nini
ndio kwanza ameanza,mpe time.................
[emoji106]lava lava unauweza music,sana tu,
next time imba kama wewe usifuate beats za Diamond, toka original
Wewe kama nani pale WCB?Huyu muimba kaswida muziki hauwezi,anatuletea nuksi tu pale Wasafi Classic Baby.
sio lazima ujue.Wewe kama nani pale WCB?
Hapo sasa!Kwahiyo mnabishana na Diamond
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]