Lavalava usijekurudia hiki kituko

Lavalava usijekurudia hiki kituko

lava lava unauweza music,sana tu,

next time imba kama wewe usifuate beats za Diamond, toka original
Hizo beats ndo uwezo wa laizer ulipoishia. Ubunifu F kabisaa yule jamaa. Beat moja kila mtu anaitembelea
 
Labda hivyo ni viatu vya kulalia
 
he is good.. punguzeni kumdis..
Af hiyo video ni 2 yrs back
 
Mim sio mshabiki sana wa hiz nyimbo lakini uyu dogo kuna wimbo kaimba unasema bora tuachane,kusema ukweli dogo kajitahidi sana.Akikaza atafika mbali.
 
mziki anaofanya Huyu dogo sio wakitoto aisee sikiliza bora tuachane kwa makini mzee nafikir umekurupuka
Wewe umevutiwa na kiswahili chake .

Ila kuhusu mziki ,ni wa kawaida sana huyu muimba kaswida.

Bora aendelee kuimba kaswida au akaaidhini adhana.
 
Wewe umevutiwa na kiswahili chake .

Ila kuhusu mziki ,ni wa kawaida sana huyu muimba kaswida.

Bora aendelee kuimba kaswida au akaaidhini adhana.
sio nyimbo hiyo tu mkuu kuna ile inaitwa teja kapita vizur tu kwanini mafanikio ya watu unayachukia hiv
 
sio nyimbo hiyo tu mkuu kuna ile inaitwa teja kapita vizur tu kwanini mafanikio ya watu unayachukia hiv
Basi endelea kumpenda.

Ila mimi simkubali hata kidogo na nilishawahi kumwambia Diamond kipindi kile yupo kwenye mchakato wa kumsainisha ila hakunisikiliza.
 
Angalia hata movie za wakubwa.. utaona wamama wanavyo panda na viatu kitandani

mwanza kwetu
 
Back
Top Bottom