Starboywiz
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 867
- 1,455
Hizo beats ndo uwezo wa laizer ulipoishia. Ubunifu F kabisaa yule jamaa. Beat moja kila mtu anaitembelealava lava unauweza music,sana tu,
next time imba kama wewe usifuate beats za Diamond, toka original
mziki anaofanya Huyu dogo sio wakitoto aisee sikiliza bora tuachane kwa makini mzee nafikir umekurupukaHuyu muimba kaswida muziki hauwezi,anatuletea nuksi tu pale Wasafi Classic Baby.
Wewe umevutiwa na kiswahili chake .mziki anaofanya Huyu dogo sio wakitoto aisee sikiliza bora tuachane kwa makini mzee nafikir umekurupuka
sio nyimbo hiyo tu mkuu kuna ile inaitwa teja kapita vizur tu kwanini mafanikio ya watu unayachukia hivWewe umevutiwa na kiswahili chake .
Ila kuhusu mziki ,ni wa kawaida sana huyu muimba kaswida.
Bora aendelee kuimba kaswida au akaaidhini adhana.
Basi endelea kumpenda.sio nyimbo hiyo tu mkuu kuna ile inaitwa teja kapita vizur tu kwanini mafanikio ya watu unayachukia hiv
unafikiri muziki ni kwa ajili ya shetani wanaokesha club tu!!?..p.mbaaavu,una upeo finyu sanaAnatuzingua tu.
Sidhani kama anaweza kututolea ngoma za ku bang bang ma nights clubs nini