Lavalava ni msanii mkali ila alikuwa anapokea negative comment kwamba ana gundu, hasapotiwi na Wasafi ila tunaojua mziki tuliona sio kweli eti ana gundu au hasapotiwi kwasababu pamoja na hayo maneno still alikuwa anatoa hit song na kupata shows nyingi.
Shida ya Lavalava ilikuwa ni kutotoa nyimbo nyingi ndani ya mwaka lavala anaweza kuachia ngoma 1 ndani ya mwaka hii ndio ilikuwa inamfelisha mfano diamond anaweza asiachie ngoma nyingi lakini ana showbiz nyingi inayomfanya azungumziwe tofauti na Lavalava ndio maana watu wanamsahau.
Sasa hivi kabadilisha huo utaratibu wake ngoma yake ya Tajiri imehit na tena ametoa wimbo mwingine nao unafanya poa sana akaendelea hivi hivi atateka soko