Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,341
- 2,121
Tajiri ni wimbo mzuri keep it up lavalava...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ushamba we mzee wa kijijin rud bushi tuachie mziki wetu watu wa mjini...mnajikuta mna akili sana ambazo hata haziwasaidii kitu.Sio aged wala nini, nina class na knowledge ya good music sio trash ass music mnaopenda nyie. Anyway kuna correlation kubwa sana kati ya IQ na uwezo wa kutambua ala za muziki kama hujui. Hizo takataka nimejilazimisha ila wapi, hakuna la maana. Sema nyie sababu lugha nyingine zimewapiga chenga hamna namna zaidi ya kukomaa na matakataka hayo. Poor quality of production, wack ass melodies. Wack music for wack people. Uchafu mtupu.
Yaani uyo jamaa anajikuta mjuaji sanaa hadi kusema kuwa lugha hatuielewi na hiko kineno kimoja cha wack alichokalilishwaAcha ushamba we mzee wa kijijin rud bushi tuachie mziki wetu watu wa mjini...mnajikuta mna akili sana ambazo hata haziwasaidii kitu.
Ukiona mziki huelewi waachie wanaolewa sio kujiona mjuaji na kupondaponda, aya unaponda sana weka orodha ya kaswida zako unazopendelea wew limbukeni
sawaNgoma ni kali ila unaonekana una chuki na mondi
Ni kweli, ila haya mabongo flavor mengi ni matakataka tu. Wanayaelewa kina mwajuma ndala ndefu na sungura topeNi preference tu mkuu, kuna watu wanapenda muziki wowote uliopo successful kwa mainstream, wengine wanasikiliza genre moja zaidi na wengine hawana mipaka kwenye selections zao, chochote kizuri wanasikiliza..
Nimeteseka sana kujaribu kuzielewa, kila nikitoka out nazikuta kila mahali yani napata tabu hatari. Alafu ukute ni bar mshenzi barmaid mwanamke, wanajipigia wenyewe nyimbo wanazozitaka.Yani hizo nyimbo ni za kusikiliza kabisaa!!? Kwa mtu mwenye akili timamu!??
Hovyo..
Naponda na hakuna kitu utafanya , ndio nina akili, ninawazidi class. Siwezi kusikiliza trash. Eti mjini, mtoto wa mjini aliesoma aliekulia familia stable hawezi, i repeat hawezi elewa hizo takataka , wanajilazimishaga tu maana mambumbumbu mpo wengi. Hakuna namna.Acha ushamba we mzee wa kijijin rud bushi tuachie mziki wetu watu wa mjini...mnajikuta mna akili sana ambazo hata haziwasaidii kitu.
Ukiona mziki huelewi waachie wanaolewa sio kujiona mjuaji na kupondaponda, aya unaponda sana weka orodha ya kaswida zako unazopendelea wew limbukeni
Sikupingi mkuu, ila unasikiliza nyimbo za aina gan? Mainstream ya kibongo wack sana huo ndo ukweliNaponda na hakuna kitu utafanya , ndio nina akili, ninawazidi class. Siwezi kusikiliza trash. Eti mjini, mtoto wa mjini aliesoma aliekulia familia stable hawezi, i repeat hawezi elewa hizo takataka , wanajilazimishaga tu maana mambumbumbu mpo wengi. Hakuna namna.
Kwahiyo mziki wa bongo ni trash? Acha dharau mjomba.Naponda na hakuna kitu utafanya , ndio nina akili, ninawazidi class. Siwezi kusikiliza trash. Eti mjini, mtoto wa mjini aliesoma aliekulia familia stable hawezi, i repeat hawezi elewa hizo takataka , wanajilazimishaga tu maana mambumbumbu mpo wengi. Hakuna namna.
Kwahiyo mziki wa bongo ni trash? Acha dharau mjomba.
Nasikiliza nyimbo za aina nyingi, rnb, hip-hop, afro, you name it. except takataka za Bongo fleva sijui diamond, mara lavalava straight trash music. Bora ata kuna muda harmonize ana bahatisha quality na melody. But for the most part TRASH.Sikupingi mkuu, ila unasikiliza nyimbo za aina gan? Mainstream ya kibongo wack sana huo ndo ukweli
Wewe utakuwa aged hizi sio nyimbo zako waachie vijana
Bro ni kweli kabisa , nyimbo nyingi za bongo fleva ni takataka hamna kitu ni kelele tu!Sio aged wala nini, nina class na knowledge ya good music sio trash ass music mnaopenda nyie. Anyway kuna correlation kubwa sana kati ya IQ na uwezo wa kutambua ala za muziki kama hujui.
Hizo takataka nimejilazimisha ila wapi, hakuna la maana. Sema nyie sababu lugha nyingine zimewapiga chenga hamna namna zaidi ya kukomaa na matakataka hayo. Poor quality of production, wack ass melodies. Wack music for wack people. Uchafu mtupu.
Umejibu jibu la kipumbavu sanaSawa mkuu,ila hiyo ngoma haiwezi kuingia kwenye playlist yangu!
"Alichokalilishwa" kiswahili chenyewe nacho tatizo. We ndio utajua muziki gani mzuri? F you too. Mtu anayependa hizo nyimbo akapimwe akili. Ni uchafu na utabaki jalalani.Yaani uyo jamaa anajikuta mjuaji sanaa hadi kusema kuwa lugha hatuielewi na hiko kineno kimoja cha wack alichokalilishwa
Anajifanya anaijua hiyo lugha kama vile iliundwa na ukoo wao
f^ck him
Hahaa, we hujui akili kubwa inauwezo wa kuchambua ala za muziki tofauti? Hujui watanzania asilimia kubwa ni vilaza kama nyie ndio maana hamna la maana kwanzia viongozi mpaka nyie raia? TakatakaHuyu paqwa anajiona Ana akili kumbe popoma tu
🤣🤣🤣🤣🤣 unaleta ushabiki hapa kuisagia kunguni kumbe wewe ni team konde boy?? Hapo sasa nimekuelewa 🤣🤣🤣🤣Nasikiliza nyimbo za aina nyingi, rnb, hip-hop, afro, you name it. except takataka za Bongo fleva sijui diamond, mara lavalava straight trash music. Bora ata kuna muda harmonize ana bahatisha quality na melody. But for the most part TRASH.