Lavelle Crawford: Mchekeshaji anayetengeneza pesa kwa kurudia vichekesho vilevile!

Lavelle Crawford: Mchekeshaji anayetengeneza pesa kwa kurudia vichekesho vilevile!

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
LavellCrawfordByPhilKonstantin.jpeg

Lavelle Crawford ni stand up comedian and actor kutoka nchini Marekani.

One thing I like about this guy is that tangu aanze kufanya stand up comedian kwa zaidi ya miaka 20 sasa kila akipanda jukwaani anatoa vichekesho vile vile. Yet, promoters keep on booking him and he makes money off it. Nimeikubali sana staili ya jamaa.

Inawezekana promoters huwa wana m-book wakitarajia atakuja na vichekesho vipya only to surprise them with the same old jokes jambo linalowacha audience wakiwa na vicheko vikubwa zaidi.

Jamaa ame capitalize kwenye fact kwamba " kutoa vichekesho vile vile kila siku ni kichekesho pia" so he gives to his audience they way they want it.
 
Back
Top Bottom