X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
vigNenda UDSM wanatoa hata certificate.
ezo vyao inakuaje sasa mzee mwenzanguNenda UDSM wanatoa hata certificate.
Chuo cha uongozi wa Mahakama Lushoto kiko vizuri sana kwa hiyo level, ila usiwe mvivu kusomaKwa level ya certificate n chuo gan kipo vizur
hahaha, acha utani ndugu. angalia safu ya maprofesa iliyoko udsm, mzumbe, st.augustine ulinganishe na hao wanaofundisha tumaini dsm utapata jibu.mimi siwezi mpeleka mtoto wangu hapo hata bure. na waliosoma hapo tunawaona mtaani huku wanavyoanza kujifunza upya.Nenda Tumaini ya dar iko vizuri
Una maanisha nini ndugu?UDSM, chuo ni kimoja Tanzania!