Law course

Law course

kinachosoma ni EEE? hujawahi kuona mtu division one anaenda chuo ana disco au kutoka na pass wakati wa division three akitoka na upper second or first class,
Tatizo ni kukariri bila kujiongeza
 
Nenda Tumaini ya dar iko vizuri
hahaha, acha utani ndugu. angalia safu ya maprofesa iliyoko udsm, mzumbe, st.augustine ulinganishe na hao wanaofundisha tumaini dsm utapata jibu.mimi siwezi mpeleka mtoto wangu hapo hata bure. na waliosoma hapo tunawaona mtaani huku wanavyoanza kujifunza upya.
 
Back
Top Bottom