TZINVESTOR
Senior Member
- May 29, 2014
- 106
- 23
Uzalendo zero.Naomba kuuliza swali wakuu.
Nina ndugu yangu yuko Ulaya alienda kusoma alichukua Law degree ya kwanza na ya Masters pia alichukua sheria zaidi ni mambo ya corporate law.
Huko aliko alifamikiwa kupata uraia wa kule lakini sasa japo anafanya kazi kwenye investment bank anataka kurudi kutumia fursa Ilizipo hapa nyumbani.
Sasa je process ni zipi ili apate leseni ili.afanye shughuli za kisheria hapa tanzania?
Pia naomba kujua kama kazi zipo au zimeshachukuliwa na akina Mkono et al?
I will appreciate inputs zenu.
Shukran
kwanza alete certificates zake TCU wazipitishe kwanza then, aende law school mwaka mmoja apate uwakili mana barrister wa UK lazma apite lst alafu ndo aombe leseni kwa TLS na CJ:kazi zipo yeye ndo atengeneze na si asubiri kuajiriwa