Law firm mpya

Law firm mpya

TZINVESTOR

Senior Member
Joined
May 29, 2014
Posts
106
Reaction score
23
Naomba kuuliza swali wakuu.

Nina ndugu yangu yuko Ulaya alienda kusoma alichukua Law degree ya kwanza na ya Masters pia alichukua sheria zaidi ni mambo ya corporate law.

Huko aliko alifamikiwa kupata uraia wa kule lakini sasa japo anafanya kazi kwenye investment bank anataka kurudi kutumia fursa Ilizipo hapa nyumbani.

Sasa je process ni zipi ili apate leseni ili.afanye shughuli za kisheria hapa tanzania?

Pia naomba kujua kama kazi zipo au zimeshachukuliwa na akina Mkono et al?

I will appreciate inputs zenu.

Shukran
 
Hello..Je yupo nchi gani?na ameshafanya bar exam?
 
Uzalendo zero.
 
mbona kuna law firms nyingi tuu za nje zinaoperate Tanzania?

dunia ya leo issues za uraia zimepitwa na wakati
 
...as long as maccm wapo madarakani, ahonge tu atapata tenda hata bot,BRN ndo mpango mzima...
 
Is that a question to ask? Sasa aje kwa visa gani, investor au tourist?
 
kwanza alete certificates zake TCU wazipitishe kwanza then, aende law school mwaka mmoja apate uwakili mana barrister wa UK lazma apite lst alafu ndo aombe leseni kwa TLS na CJ:kazi zipo yeye ndo atengeneze na si asubiri kuajiriwa
 
Kutokana na maelezo yako kuwa:

1.Certificates zake inabidi ziwe verified na TCU...

2. Aende law school tena mwaka mmoja

3. Aombe usajili na TLS

4. Aapishwe na jaji mkuu

5. Aanze michakato ya kuwanyanganya kazi.Mkono IMMA REX et al

Au?

Mbona mmesahau element ya costs?
 
send ur certificates at Tcu,after approval apply for law school tz,ukifaulu utaapishwa na CJ,then utapata practicing certificate,then unachukua bbussiness licence and proceeds with ur whatever
 
Back
Top Bottom