Law:Hasara na faida za Lema kwenda court of appeal

Nashkuru chadema wamekubali na kuliona hili la kukata rufaa..kwa mujibu wa mbowe leo sababu hiyo ya kwanza wameizingatia...
Kutokukata rufaa ni sawa na kubariki maamuzi ya mahakama kwamba ni kweli chadema walitukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…